Well, kiuhalisia njia ninayotumia mimi na nayoijua ni kuchanganya kiasi fulani cha chumvi katika maji unayofulia nguo yako hiyo baada ya kuweka sabuni ya unga.
Na hii, inatumika kwa nguo zote zinazochujisha rangi yake halisi.
Nadhani nitakuwa nimesaidia kwa kiasi fulani.