Namna ya kulea Kuku wa mayai (Layers)

Dumishamila

Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
40
Reaction score
30
Habari wadau,
Nahitaji kufuga kuku wa mayai yaani Layers,
Naomba kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuwatunza kuanzia siku ya kuwapokea.
 
Nakushauri jipendekeze kwa mfugaji unayemfahamu akupe ABC ama mtaalam yyt wa mifugo hiyo
 
Mie nina uelewa kidogo unaweza ukanipa ajira. Vitu muhimu. Ni kuandaa chumba.rada za mbao. Magazeti. Masinia makubwa ya kuwekea chakula.madawa. majiko makubwa ya mkaa ili vifaranga vipate joto la kutosha. Driker za maji. Kuna mbao za kuwekea driker.
 
Andaa chumba kisafi, madirisha yawekee mifuko au magunia ili hewa isiingie hata kidogo. weka rada chin kisha isambaze iwe size moja. weka magazeti juu ya rada za mbao. weka majiko mawili kulingana na wingi wa vifaranga. weka mkaa kwenye majiko. andaa chicken driker weka maji na dawa ya glucose. na kuna chakula cha kukuzia vifaranga. mpaka siku tano ndo utaondoa majiko ya mkaa baada ya kuchangamka vizuri. bado limeisha mkuu.
 
Mie nina uelewa kidogo unaweza ukanipa ajira. Vitu muhimu. Ni kuandaa chumba.rada za mbao. Magazeti. Masinia makubwa ya kuwekea chakula.madawa. majiko makubwa ya mkaa ili vifaranga vipate joto la kutosha. Driker za maji. Kuna mbao za kuwekea driker.
Shukrani.
 
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…