Rocky kumbadili mtu mzima ni kazi sana, unaweza ila asilimia ndogo saana, mtu awezi acha asili yake, anaeza badilika kwa muda kama ni mwanzo wa mahusiano ili akuvutie, with time anarudia lifestyle yake, hiyo naongelea tabia tu ya mtu, ulevi na mengine asilimia ya kubadilika inaongezeka
Thumbs up Nailyne, kitu kingine mimi nafikiri partner wako akiwa kama rafiki yako basi ni rahisi sana kujadili vitu vingi sana na vichache vinaweza kubadilikabinafsi naamini kubadilika ni lazima mtu uamue mwenyewe kutoka ndani yako,unaweza ukawa influenced kuvaa,the way u talk etc lakini mtu hawezi kukulazimisha ulale na mwanamke/mwanamme kama wewe hujaamua,i can influence a friend to drink beer today but kama hajaipenda then sitegemei kama kesho atakunywa unless ameamua kufanya hivyo.
Tukijifunza kuheshimiana, kuthaminiana kuongea kwa lugha ya staha katika mahusiano yetu basi ni dhahiri kwamba tunajenga mahusiano yaliyo bora na msingi wa mahusiano yoyote yale ni kupeana heshima kwa wahusika wawili haijalishi kipato au umri kama tukiweza kufuata na kujali ni kitu gani tunapaswa kufanya basi ni dhahiri tutadumisha hata pale ambapo tulikuwa hatuwezi kuparekebisha
Thumbs up Nailyne, kitu kingine mimi nafikiri partner wako akiwa kama rafiki yako basi ni rahisi sana kujadili vitu vingi sana na vichache vinaweza kubadilika
sweetie we si juzi tu umesusa mmu,kulikoni? Lakini du karibu tena maana tulikumissssooo!!!!!ngoja nitafute hata liteja nilichange nione kama litakubali
binafsi naamini kubadilika ni lazima mtu uamue mwenyewe kutoka ndani yako,unaweza ukawa influenced kuvaa,the way u talk etc lakini mtu hawezi kukulazimisha ulale na mwanamke/mwanamme kama wewe hujaamua,i can influence a friend to drink beer today but kama hajaipenda then sitegemei kama kesho atakunywa unless ameamua kufanya hivyo.
Bishanga mbele ya Rocky atakuja tuu.sweetie we si juzi tu umesusa mmu,kulikoni? Lakini du karibu tena maana tulikumissssooo!!!!!
Tatizo linaanza pale mmoja anapojiona ana mamlaka zaidi juu ya mwenzakeKweli kabisa. Tatizo ndani ya nyumba ni uadui na kuogopana na familia moja baba na mama ni kama mbuzi na chui. Hawana kuongea kwa amani hawajadiliani wanaogopana na maongezi yao ni yale ya mtumwa na mmiliki wake. Woga umetawala. Hata ule muda kujadiliana mambo ya familia haupo. Hapo kweli hata kubadilishana ni pagumu
halafu wewe ndo ulinitukana lile tusi eeeh?sweetie we si juzi tu umesusa mmu,kulikoni? Lakini du karibu tena maana tulikumissssooo!!!!!
Thumbs up Nailyne, kitu kingine mimi nafikiri partner wako akiwa kama rafiki yako basi ni rahisi sana kujadili vitu vingi sana na vichache vinaweza kubadilika
Kuna ukweli ndani yake Nailynemkiwa boyfriend n galfriend hilo linawezekana lakini mkisha kuwa kwenye ndoa kuwa na mahusiano kama marafiki huwa ni ngumu coz mara nyingi (sio zote) wanaume wanakuwa ndio wenye mamlaka na wanapenda kuogopwa,na pia wanapenda sana hata unapo adress certain issues to them uonyeshe sense ya kuwaogopa flani hivi, na hiyo ndio inawapa power n wanafeel respected, bt if u treat him like a friend atahisi kama unamuona kama mnalingana wakatii yeye anataka kufeel yupo juu zaidi yako..,
Hata mimi nakubaliana nae kwa some pointKuna ukweli ndani yake Nailyne
Ukimpenda sana mtu unadhani anaweza fanya lolote kwa ajili yako ,na hata kubadilika kwa ajili ya mhusiano, na unapogundua haiwezekani inakuwa too lateYou are absolutely right kabisa yaani huwa inakuwa ni tofauti kabisa, huwa najiuliza ni kweli ndio mtu uliyepangiwa uwe naye au ni mambo yanatokea tu kwenye maisha
Nailyne hilo ndo tunalotaka kupambana nalo. Ile hali ya kule ndani kuwa kama simba na swala. Always swala anakuwa mnyonge tuu kwa simba. Na hilo ndo tunalojaribu kulipinga. Ndani ya nyumba ni lazima kuwe na ile hali ya kuelewana na kujadiliana na kuweka mambo sawa. Na majadiliano haya ndo yanaibua mazungumzo ya kubadilishana na kuchange tabia za watu.
Tatizo ni lile kwamba watu hawataki kubadilika. Hawataki kukubaliana na ukweli kwamba majadiliano na mazungumzo yanadumisha ndoa na kudumisha uhusiano. Naamini katika majadiliano na mawasiliano ya karibu. Hili ndo litasaidia kuyaweka mahusiano katika mstari ulionyooka. tnikiona maandiko haya yanatoka kwa mwanaume napata amani sana kuwa at some degree na nyie mnatambua mahusiano bora ni yale ya kuheshimiana na kupendana na sio kuogopana ni kweli tunasaidiana kupitia hii mijadala kujua tabia zetu na namna ya kuzihandle ili kuboresha mahusiano yetu.
Vitisho inategemea na mtu mwenyeweUmeongea vyema mr rock ila vipi kama umetumia lugha zote ila njemba halibadiliki? Unaweza tumia vitisho?
Vitisho inategemea na mtu mwenyewe
Maana kama njemba imepanda juu na ndo haisikii lolote hapo unatafuta ugomvi.