Ninachofahamu hakuna anaeweza kumbadilisha mtu,mtu hubadilika mwenyewe,kwanza kwanini abadilike?Unapotaka hayo unaenda nje ya maana halisi ya upendo!
kweli, hivi hadi mnakuwa wapenzi si ina maana ulishaona anafaa.
Nilishawahi kuliongea hili la kubadilishana na watu wakabisha.
Nafikiri kama mpenzi wako ameanza kubehave tofauti na awali ndio unaweza mbadilisha arudi katika hali yake ya awali. Mengine yote yabaki kama ulivyoyakuta.
kama mtu ana vgezo vingi vinavyofaa ila kmoja 2 ambacho nacho inawezekana kubadilika try ur level bhana! Labda kama ni inborn errorz.
hivi mkuu Mr Rocky kwa mfano mtu anataka kukubadilisha tabia ulioizoea kwa mfano kuduuu kila baada ya mwezi halafu anakuambia hakuna kuduu mpaka hapo atakapo amua yeye bila ya sababu yoyote utaelewa kweli au utafanya nini kuelewa hiyo hali? toa ushauri kwa hilo mkuu pamoja..
Uraaaa!
mi penzi mingine kama imelaaniwa haibadiliki wala nini hata ufanyeje kudadadadeki.
Kubadilika inawezekana sana
Inategema upande unaotaka ubadilike
Tatizo wengi tunataka kuwabadilisha wapenzi wetu kwa muda mfupi tu
Huwa nafahamu kuwa lazima kukubali kuwa mjinga ili kumbadilisha mwenzio
Anza taratibu na usitake interests zako ndo zitawale kila wakati
Mi naamini ukienda naye polepole atabadilika tu
Cha muhimu acha papara
wangu anakojoa kitandani sasa nilale chini au
wangu anakojoa kitandani sasa nilale chini au
Ni kweli mkuu, swala la kumbadilisha mtu kitabia ni gumu sana na linahitaji uvumilivu na subira ya hali ya juu, kumbuka kwamba mtu kubadilika kitabia ni mpaka apende mwenyewe, sasa je utawezaje kumfanya apende mwenyewe kubadilika. Ushauri uliotolewa na mtoa mada ni wa kuzingatiwa na hata hii QUOTE hapo juu ina mchango mzuri................changanyeni na za kwenu
Thanks to mr Rocky,ww ndiye yule kefa (mwamba) nini?haa haaa
Im praying every nite for the changes to come in every soul that need peace in their marriage,na hii inatia moyo sana kuona kuna vichwa (mr) ambao sio selfish na ambao wanapenda kumaliza siku zao kwa kuvumiliana na kuheshimiana,ikiwa hivi hata kwa nusu ya wanaume wote walioowa na wanaotegemea kuoa dunia itabadilika.Nimefuatilia almost every post na inaonyesha ukomavu hii inaleta faraja sana kwetu wamama ..Tukiendelea hivi iko siku maana halisi ya ndoa itaheshimika na haitakuwa na maana ya kukatisha tamaa wale ambao hawajaingia na hata waliopo ambao wana vichwa sugu watasoma (watajifunza) kwenu......
wangu anakojoa kitandani sasa nilale chini au
Mkuu ni kweli au unatania?
Ni kweli mkuu, swala la kumbadilisha mtu kitabia ni gumu sana na linahitaji uvumilivu na subira ya hali ya juu, kumbuka kwamba mtu kubadilika kitabia ni mpaka apende mwenyewe, sasa je utawezaje kumfanya apende mwenyewe kubadilika. Ushauri uliotolewa na mtoa mada ni wa kuzingatiwa na hata hii QUOTE hapo juu ina mchango mzuri................changanyeni na za kwenu
Suala la ndoa linawaumiza sana watu wengi vichwa maana wanaona walio ndani ya ndoa wanatamani kutoka nje na walio nje wanatamani kuingia ila kwa namna wanavyoona mambo wako tayari kubakia single
tatizo kubwa la ndoa nyingi ni lack of communication ndani ya ndoa zetu
Mke na mume hawana muda wa kujadliana na kila wakati wakiongea ni amri zinatolewa kutoka kwa baba kwenda kwa mama na hakuna ule muda ulioitengwa kujadiliana na kujaribu kusuluhisha masuala ya familia au matatizo au mapungufu ya ndoa husika kw anjia ya kujadiliana
Mambo mengine tunayakuza sisi wenyerwe na kuyafanya yaonekane makubwa wakati uhalisia ni madogo sana kama pande zote mbili zitajiwekea utaratibu wa kukaa pamoja kuyaongea