BPM Hapo sijakuelewa hali zao za chini kwa maana gani kuwa huko kwa wazazi alikotokea au huyo mume aliyemuoa?kama unamaanisha alikotokea vip kuhusu (wanandoa) wale walioanza na kitanda kimoja na chumba kimoja cha kupanga baada ya muda wakabarikiwa kujenga ghorofa then mwanaume akaanza makeke? Na hapa tusemeje?
semina zipo sema watu hawapendi kujifunza. Mtu gari ikiisha tairi yupotayari kununua ingine ila kulipia semina ya ndoa hawawezi kazi kunywa pombe tu siku kuna matatizo ndani eti ndo soln damn....?
ni heri hata wangefanya ndoa ni utu wengine wanachukulia kama ni stage fulani mtu anapita katika maisha kama vile ubatizo au kipaimara etc
BPM Hapo sijakuelewa hali zao za chini kwa maana gani kuwa huko kwa wazazi alikotokea au huyo mume aliyemuoa?kama unamaanisha alikotokea vip kuhusu (wanandoa) wale walioanza na kitanda kimoja na chumba kimoja cha kupanga baada ya muda wakabarikiwa kujenga ghorofa then mwanaume akaanza makeke? Na hapa tusemeje?
kweli rocky yaani watu wanaona kufanya harusi ni issue sana mimi huwa nasema suppose uko kituo cha daladala ubungo wewe ni abiria unaenda zako kigamboni likija basi la kibaha utapanda tu kisa upo kituoni ? Kila mtu asubiri gari yake ndo safari itakuwa nzuri na utakaa kwa amani maana unapoenda ndo nyumbani kwako lohni heri hata wangefanya ndoa ni utu wengine wanachukulia kama ni stage fulani mtu anapita katika maisha kama vile ubatizo au kipaimara etc
kweli rocky yaani watu wanaona kufanya harusi ni issue sana mimi huwa nasema suppose uko kituo cha daladala ubungo wewe ni abiria unaenda zako kigamboni likija basi la kibaha utapanda tu kisa upo kituoni ? Kila mtu asubiri gari yake ndo safari itakuwa nzuri na utakaa kwa amani maana unapoenda ndo nyumbani kwako loh
Mr Rocky,nafikiri mwanaume / mwanamke wa hivi ndio wale wanaitwa malimbukeni ingawa haipendezi kufikia hapo ndio maana ni bora kila mmoja afanye wajibu wake pale tu anapoingia kwenye ndoa .(Sumtimes nimeskia wadada wanasema huu ni utumwa ila ukweli unabaki palepale kama inampendeza Mungu no way out)…..Enyi waume wapendeni wake zenu…..Enyi wake watiini waume zenu….mi naamini tutafundishana tuuuu mpaka mwishoKuna watu wanapata kipato na wanakuwa stable yaani huwezi ukaona mabadiliko yao
Kama ni ndoa yake bado anaiheshimu
Ila kuna watu ndo wanaanza sas akufungulia kile walichokikosa muda mrefu
Na kama ni ndoa anaiona haina maana tena hata mwenza wake waliyeteseka nae anaonekana hana maana
Na yote hii tunarudi pale pale ukosefu wa majadiliano ndani ya nyumba
Kuwa kipato kisiwe kitu cha kumbadilisha mtu ila kiwe kichechea cha kujenga familia bora
Mr Rocky,nafikiri mwanaume / mwanamke wa hivi ndio wale wanaitwa malimbukeni ingawa haipendezi kufikia hapo ndio maana ni bora kila mmoja afanye wajibu wake pale tu anapoingia kwenye ndoa .(Sumtimes nimeskia wadada wanasema huu ni utumwa ila ukweli unabaki palepale kama inampendeza Mungu no way out)…..Enyi waume wapendeni wake zenu…..Enyi wake watiini waume zenu….mi naamini tutafundishana tuuuu mpaka mwisho
ndoa zina mambo sana rocky,ila mungu tu ndo anasaidiahapo hapo sasa
yaani ukiona ndoa imefikia hapo ujue ni balaa
ila najiuliza hivi umefikia kulalamika kuwa huu ni utumwa kwa kushinda kujua umekosea wapi
yaani haiwezekani ndoa ikaanza kuwa kituko mara moja au mume au mke hawezi kuanza kubadilika siku moja yaani ni process ya muda mrefu
je wewe unayelalamika umechangia nini katika kuifanya ndoa isifikie kuwa utumwa
au umechangia wapi kuifanya ndoa iwe utumwa
ndoa zina mambo sana rocky,ila mungu tu ndo anasaidia
wewe unataka kuingia au kutoka kaka?nakubaliana na wewe kabisa
ndoa zina mambo
ndo maana waliopo wanatamani watokle walio nje wanaogopa kuingia humo
wewe unataka kuingia au kutoka kaka?
aise na huku nje kutamu kweli humuaise ba do ndoa yangu ni tamu sitamani hata kutoka kabisa humu
aise na huku nje kutamu kweli humu
usisindwe bwanaaise bado sitamani kurudi huko na better nikasuluhisha mambo yangu na nikaribishe majadiliano kabla sijaruhusu kutoka
nikitoka ujue nimeshindwa kabisa
usisindwe bwana
Kuna kitu katika dhana nzima ya mapenzi kimepungua
...........tatizo unajua tukishazoeana sana tunajisahau tunaona vitu vingine kama priviledge kwa yule anayepokea na ndo maana wengi wakiwa kwenye ndoa hata dhana nzima ya kukutana inakuwa kama anasa badala ya kitu cha lazima
Ninachofahamu hakuna anaeweza kumbadilisha mtu,mtu hubadilika mwenyewe,kwanza kwanini abadilike?Unapotaka hayo unaenda nje ya maana halisi ya upendo!
ndoa zina mambo sana rocky,ila mungu tu ndo anasaidia