Namna ya kuomba uhamisho NACTE kwa vyuo vya afya

Namna ya kuomba uhamisho NACTE kwa vyuo vya afya

BUNGULWA

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya kuomba uhamisho wa wanachuo wa nesin mwaka huu kutoka chuo A Kwenda Chuo B. Natanguliza shukran
 
kwenye profile yako pale juu kuna option ya transfer unaeza ukafanya mambo. reason hakikisha unaandika kiingereza
 
Naona kama profile na pia link ya kuingia kwenye afya haipo hivi. Hata hivyo nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom