Namna ya kuondoa maneno " powered by blogger" kutoka kwenye blog yako!

Poa mkuu ngoja nijaribu hii ya kwangu nitakupm
 
Washawasha, wala usijali, sidhani kama kuna tatizo kwani hizi ni templates za bure.
 
Mbona nimeshndwa jamani inakuwaje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…