Namna ya kupata Barcode

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Wadau habari!
Nimepata deal la kuuza bidhaa nje ya nchi ila moja ya vigezo vyake package lazima iwe na barcode, kwa hapa bongo wapi naweza kuipata?

Natanguliza shukrani!
 
it's simple ila kwanza uwe na cheti cha usajili BRELLA, TIN na leseni ya biashara,je unavyo?
 
tafuta kuna uzi hauna hata mwezi huku alikuwa anauza hizo barcode mnaweza mkayajenga
 
Wadau habari!
Nimepata deal la kuuza bidhaa nje ya nchi ila moja ya vigezo vyake package lazima iwe na barcode, kwa hapa bongo wapi naweza kuipata?

Natanguliza shukrani!
Nenda GS1wapo Tirdo msasani macho.wanatoa barcode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…