Namna ya kupata case files (PDF)

tahan96

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
86
Reaction score
104
Habari wana Jf,

Kwa anae weza nisaidia upande wa mawakili au anae jua mambo ya mahakama, je ni kwa namna gani naweza pata pdf za hizi case files.

Kwa mfano ile case ruling ya Bilionea Msuya ya 2018?

Kuna namna naweza access hizi files?
 
Ngoja tusubir lkn naamin itakuwa kuwa msaada mkubwa sn kama kuna mtu atasaidia kwa hili
 
Habari wana Jf,

Kwa anae weza nisaidia upande wa mawakili au anae jua mambo ya mahakama, je ni kwa namna gani naweza pata pdf za hizi case files.

Kwa mfano ile case ruling ya Bilionea Msuya ya 2018?

Kuna namna naweza access hizi files?
Unataka kutumia kama reference au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…