Namna ya kupata container za packaging kwa bei ya jumla kwa ajili ya kuuza

Namna ya kupata container za packaging kwa bei ya jumla kwa ajili ya kuuza

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
253
Habari zenu wana jf
Nimeona deal somewhere ambalo naweza pata cash ya kusukuma life natafuta packaging containers kuanzia mifuko,chupa ,mabox na kadhalika
nataka niwe dealer wa mambo hayo je wapi naweza pata mzigo nianze kazi mapema as possible
Natnguliza shukrani
 
Back
Top Bottom