Habari zenu wana jf
Nimeona deal somewhere ambalo naweza pata cash ya kusukuma life natafuta packaging containers kuanzia mifuko,chupa ,mabox na kadhalika
nataka niwe dealer wa mambo hayo je wapi naweza pata mzigo nianze kazi mapema as possible
Natnguliza shukrani