Namna ya kupata kibali cha kufungua training centre ya kufundisha qt, computer application, na masomo kwa ujumla

mafuru

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
379
Reaction score
38
Nauliza Ndugu kwa YEYOTE anaejua NAMNA ya KUPATA vibali vya kufungua training centre itaoayokuwa inafundisha computer application na masomo labda
Aweze kunisaidia

ASANTENI
Karibuni!!!!
 
Wakuje watusaidie maada hatuna la kufanya vyeti vimekua vya kabatini.
 
Nauliza Ndugu kwa YEYOTE anaejua NAMNA ya KUPATA vibali vya kufungua training centre itaoayokuwa inafundisha computer application na masomo labda
Aweze kunisaidia

ASANTENI
Karibuni!!!!
Kuna MTU alifungua kama
Nauliza Ndugu kwa YEYOTE anaejua NAMNA ya KUPATA vibali vya kufungua training centre itaoayokuwa inafundisha computer application na masomo labda
Aweze kunisaidia

ASANTENI
Karibuni!!!!
ungekua Mwanza ningekukonect na MTU anaio kitu yeye alianza kama NGO
 
Nipe namba Yake mkuu
Naweza mcall mkuu
 
Hebu jaribu kutembelea hizi ofisi zinaweza kukusaidia; NACTE/VETA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…