Namna ya kupata mkopo kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

Namna ya kupata mkopo kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Wasalaam,

Habari ya majukumu naomba muongozo wa kupata mkopo wa fedha kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii (PSSSF) kwaajili ya kukamilisha ujenzi.

Hii ni mujibu wa mkataba wa mfuko huo na mteja kueleza kuwa mteja aliyechangia kwa miaka kadhaa anaruhusiwa kukopa fedha yake kwaajili ya shughuli ya ujenzi wa makazi.

Mwenye muongozo sahihi, vigezo na masharti vinavyotumika kupata mkopo huo tafadhali naomba msaada wake.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom