Namna ya kupata mkopo wa Milion Moja,,,!

MR.LEO

Senior Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
129
Reaction score
25
Wadau kwa yeyote mwenye uzoefu na ujuzi wa mambo ya Loans,
Naomba anijuze nifanyeje ili niweze kupata mkopo wa 1,000,000.
Nina biashara yangu ndogo yenye mtaji wa milioni 7.
Sina nyumba ya kuifanya dhamana,nina leseni na TIN namba!
Msaada pleaz,,,,!
 
Nakushauri usipende kuazima kwa watu sana. Kama unaweza nenda Standard chartered Bank uwaombe wakukopeshe watakupa loan kama una biashara yako itakuwa dhamana yako
 
Mkuu Mbwambo..Kwa retail bBusiness wanatoa hadi kiasi gani kama biashatra ipo eneo zuri?
 
Nakuomba uende Standard chartered Bank pale tawi la Posta karibu na Kanisa ulizia dada anakaa pale reception anahusika na mikopo
siwezi kumtaja majina yake hapa hadharani na wala siwezi kutoa namba yake hapa hadharani bila ridhaa yake si vyema
wewe ukimuuliza pale ukienda atakupa details zote.

changamka toka kwenye mtandao nenda pale karibu na kanisa kwa mbele karibu na CATS Group JENGO LINALOFUATA
KILA LAKHERI
 
Ahsante sana mkuu... napafahamu pale.... nitazuka one tym nikawasikilize...
 
Jaribu access bank pia wana mikopo kama hiyo. Halafu Mkeshahoi mimi sijakuelewa kwani hiyo namba uliyonayo ni ya huyo dada au ni ya benki, maana hapa kwanza ungesaidia sana kumtangaza.......bongo bwana bado sana.
 
Last edited by a moderator:
standard chatered wnakopesha registerd coys,,,,,,,,,,,,hawatoi mkopo kwa individual
 
Jaribu access bank pia wana mikopo kama hiyo. Halafu Mkeshahoi mimi sijakuelewa kwani hiyo namba uliyonayo ni ya huyo dada au ni ya benki, maana hapa kwanza ungesaidia sana kumtangaza.......bongo bwana bado sana.
Mjasiria.. nuilishapita Accessbank... mwanzoni biashara ilikuwa changa wakanitosa... baada ya muda wamepita wakakuta biashara imeanza kuzunguka wakajipendekeza nimewaweka pending kwanza...!!!
Kuhusu namaba namba ya simu soma changio la Mbwambo... ndo anajuana na mhusika .... mimi simfahamu..
 
naitwa dickson n nipo lindi natafuta soko la zao la korosho bei nafuu ' kwa mawasiliano 0653871419 nachingwea
 
Back
Top Bottom