Habari wana JamiiForums, mimi ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhili au wafadhili wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote.
Anayefahamu namna ya kupata wafadhili anielekeze maana nina project tatu ambazo zikipata ufadhili zinaweza kutoa fursa ya kuajili baadhi ya watanzania
Karibuni kwa msaada
Anayefahamu namna ya kupata wafadhili anielekeze maana nina project tatu ambazo zikipata ufadhili zinaweza kutoa fursa ya kuajili baadhi ya watanzania
Karibuni kwa msaada