Namna ya kupata wafadhili wa miradi (Project)

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Habari wana JamiiForums, mimi ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhili au wafadhili wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote.

Anayefahamu namna ya kupata wafadhili anielekeze maana nina project tatu ambazo zikipata ufadhili zinaweza kutoa fursa ya kuajili baadhi ya watanzania

Karibuni kwa msaada
 
Project yako ni profit making or non profit making?
 
Kama unatumia smartphone pakua app inaitwa 'Project funding' utaona wafadhili wa ndani na nje wanaotoa ufadhili wa miradi mbalimbali
 
Hizo project zako zinalenga kwenye maeneo yapi? make oia kuna ambazo zinapewa kipaumbele siku hizi.
 
Umesajiliwa kama NGO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…