Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
Moderator heading isomeke hivi
"Namna ya kupata waekezaji kwenye smelting plant kama viwanda vya awali"
Huu uzi utaonyesha namna ya kupata investors (waekezaji) kwenye smelting plant za natural gas, petrochemical, semiconductor, aluminium, copper, pig na iron hap Tanzania kama viwanda vya awali/viwanda mama
(Ntakua nachanganya kiswahili na kingereza)
Jina naitwa Dennis Robert shughuru, elimu bachelor of science in economics Mzumbe university
Sijatumwa na mtu au taasisi yeyote bali nafanya kwa sababu naipenda nchi yangu
Viwanda vya awali ni viwanda ambavyo vinabadilisha malighafi asilia na kuwa malighafi wezeshi
Sifa za viwanda vya awali
Mambo ya kufahamu juu ya hii miradi ya smelter hapa Tanzania
Bidhaa za plastic zinazozalishwa hapa Tanzaniapolyethylene, na polypropylene ambazo kwa asilimia kubwa zinatumika kama raw material kutengenezea plastic zinatoka nje ya nchi- hizi zikiwa zinazalishwa hapa nchini bei ya kutengeneza bidhaa za plastic itakua chini sana
Case 2
Bidhaa za aluminium mfano aluminium coil and wire coil ambazo ni kama raw material za kutengenezea aluminium zinatoka nje ya nchi- hii inafanya bidhaa za alimium zinazozalishwa hapa nchini zisiwe na ushindani kwenye soko la dunia
Case 3
Bidhaa zote za electronics zina-hitaji PCB (provate circuit board) na chip hizi hazizalishwi hapa Tanzania ndo maana inakua ngumu kutengeneza mfano tv, radio, simu n.k hapa Tanzania. Lakin kama PCB na chip zinazalishwa hapa nchini itakua ni rahisi sana kuwa na viwanda vinavyotengeneza tv, radio, simu n.k
CASE 4
Raw material zote zinazotengeneza bidhaa za mtumiaji wa mwisho za aluminium, copper, steel, plastic, na electronics zinatakiwa zizalishwe hapa nchi

- Ni gharama sana kuvijenga mfano kujenga kiwanda cha kisasa cha magari ni bei rahisi kuliko alumium au copper smelter
- Vinahitaji uzoefu mkubwa sana kuvisimamia
- Serikali inatakiwa ijotoe sana kuvilinda mfano moja ya sababu marekani kupoteza viwanda vyake ni baada ya kufa kwa viwanda vya chuma ukienda eneo linaloitwa rust-belt miaka ya 1950's kulikua na maendeleo makubwa sana ila leo hii kumebakia miji mingi iliyokufa ni kwa sababu ya kufa kwa viwanda vya chuma
- Bei ya malighafi inayotokana na viwanda vya awali inabidi iwe ndogo ili viweze kuwa na faida kwa nchi.
- Nishati ya umeme vinavyotumua ni kubwa sana mfano aluminium smelter inaweza kutumia mpaka megawatts 3000 za umeme, yaani umeme wote unaozaloshwa kwa sahivi Tanzania unaweza tumiwa na smelter ya aluminium peke yake.
Mambo ya kufahamu juu ya hii miradi ya smelter hapa Tanzania
- Serikali haichangii fedha yeyote kama mtaji wa kujenga na kuendesha miradi.
- Muwekezaji ndo anajua atapata wapi fedha za kujenga mradi na kuendesha mradi.
- Miradi hii ni ya awali maana yake itakua inatoa raw material ambazo zitatumika na viwanda vya upili
- Serikali itafaidika na miradi hii kupitia ukuaji wa viwanda vya upili kama multiplier effects
- Melting zinatakiwa ziwe kubwa ili ziwe na faida na sio kuwa ndogo