Namna ya kupika Haluwa, Mpo?

Namna ya kupika Haluwa, Mpo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[FONT=.Helvetica NeueUI]Recipe [/FONT][FONT=.Helvetica NeueUI]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Mahitaji[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]1 kikombe unga wa corn flower/[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]1kikombe brown sugar[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]2 vikombe white sugar[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]3 cup maji[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]1kijiko kimoja cha chai kungu manga[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Zafarani kijiko kimoja cha chai[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Iliki kijiko kimoja cha chai[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Mafuta ya kula vikombe viwili/unaweza tumia samli fresh[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Ufuta vijiko vitatu vya chakula[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Lozi vijiko 3 vya chakula[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Halua inapikwa kwa saa moja[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]
[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Namna ya kupika[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Chukua bakuli kubwa weka sukari zote white na brown,iliki,kungu manga,weka maji,na unga koroga hadi kila kitu kilainike yaani sukari na unga.[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Bandika sufiria yako jikoni iwe kubwa kiasi mimina mafuta au samli iache hadi ipate moto sana mimina ule mchanganyiko wako [/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Koroga bila ya kupumzika ikifika dk 45 weka ufuta wako/lozi,halafu koroga hadi litimie lisaa limoja.[/FONT]
[FONT=.Helvetica NeueUI]Hapo Halua yako itaku tayari Paka sinia mafuta mimina Halua yako iache ipoe tayari kwa kuliwa.[/FONT]


[/FONT]





Unaweza kuila hivi hivi,ukatumia kama kitafunio kwa kahawa. Bibie farkhina upo kaka BAK karibu haluwa hiyo...........
 
Duh..me haluwa zinanishinda kula....! Uroho wangu wote ukinipa kipande kidogo ujue kukimaliza siku mbili.
 
mimi hapa ndo limbwata yangu hiyo...mwanamke akitaka kunikamata ajue kupika halua,pilau na sea food basiiii.
 
Back
Top Bottom