Namna ya kupika vitumbua vya kuku

Namna ya kupika vitumbua vya kuku

Calvin75

New Member
Joined
Jul 27, 2015
Posts
2
Reaction score
5
Vipimo

Kuku - 3 Lb

Mayai - 6

Baking Powder - 1 kijiko cha chai

Pilipili boga - Robo kipande

Kitunguu maji - 1 kidogo

Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chai

Kitunguu saumu(thomu) na Tangawizi - 1 kijiko cha supu

Chumvi - ½ kijiko cha chai

Mafuta ya kuchomea



Namna ya kutayarisha na kupika
  1. Chemsha kuku mpaka awive. hakikisha umemchemsha na viungo vyote. baada ya kuwiva, toa mifupa kwa kunyambua mnofu vipande vidogo vidogo.
  2. Kata kitunguu vipande vidogo vidogo
  3. Kata pilipili boga (la kijani) vipa.......
 
Back
Top Bottom