Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Salaam jamiiforum
Asilimia tisini watanzania wingi tuna vipato vya kawaida haswa ukilinganisha na gharama za maisha na pengine ukubwa wa familia.
Na sababu ni hizi
A) Gari lako huna uwezo wa kujaza full tank mara Kwa mara
B) ujenzi wa nyumba yako ni adoado ,yaani vyumba vinne
Halafu unapiga plasta viwili kisha unahamia
C)Kutoa Ada za watoto Kwa awamu kuanzia tatu ndani ya mwaka
D)Mshahara kutokukutana,yaani Mshahara wako kuisha ndani ya siku mbili.
Kwa kuzingatia haya ni Bora kupunguza vitu vifuatavyo ili kuendana na maisha.
1.Sehemu ya kunyoa
Ni vyema ukanyoa mtaani kuliko kwenda barbershop za gharama wakati kuna watu wananyoa freshi tena ni Kwa buku mbili tu.
2.Sehemu za kupata chakula (restaurants)
Watu tukiwa makazini tunapata au kuletewa vyakula toka sehemu tofauti cha kufanya ni kuteua sehemu Safi Ila yenye gharama nafuu kuliko kuiga starehe zisizo za lazima
3.Usafiri,wengi tunapenda magari mazuri ambayo pengine yanaleta hadhi na heshima fulani ,lakini ni vyema basi kununua usafiri ambayo pindi inaharibika basi spair zake ni nafuu kupatikana na ni affordable prices.
4.Vifaa vya ndani chukua ambayo ni durable lakini havitumii umeme mwingi ,inaokoa gharama.
5. Kwa walevi ( Mimi nimeacha pombe) kunywa sehemu local tu bia moja ni 2000 ukiwa na 30000/=
Unapata burudani Safi kuliko kwenda sehemu, Kwanza marafiki na washikaji wanafiki ni wengi unajikuta million imekata kirahisi mno.
6.Kwenye outing zako penda kuongozana na mke au mpenzi mnayeaminiana,hawa hujua kubalance matumizi ,pa kutumia laki tatu unakuta ni laki Tu kisha mnarudi zenu ,Malaya hawana shukurani utachunwa Tu.
7.kumbuka ,nguo,viatu,lazima view vya gharama ,injini ya usmart WA mtu iko kwenye kiatu kisha nguo,Pia na perfume iwe expensive
8.Ishi maisha yako huu ni ushauri Tu siyo formula ya maisha.