Namna ya kusaidia Ngozi ya uso iliyosinyaa kutokana na scrub na loshen kali

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Msaada wakuu: Mtu wangu wa karibu ameathiriwa sana na losheni na scrub ngoz yake ni yenye mafuta imesinyaa sana na mafuta bado yapo naomben njia ya kusawazisha ngozi yake iwe kawaida hasa kwa dawa za chakula lishe na mitishamba kama zipo
 
mh! ssrub husababsha ngozi kusinyaa? labda hizo ni cream zenye hydroquinone, awe anapaka asali mbichi kutwa mara tatu, atapona tu!
 
mh! ssrub husababsha ngozi kusinyaa? labda hizo ni cream zenye hydroquinone, awe anapaka asali mbichi kutwa mara tatu, atapona tu!

Hiyo asali inapakwaje maana asali ni nzito tofauti na mafuta au lotion ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…