Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu weusi hatuna imaniHivi ndio safi!
![]()
hapo mke wa obama kimoyo moyo anasema ajue bado nalipa... hakuna kitu kizuri kama hicho hasa mbele ya mwenzio inaongeza creditHivi ndio safi!
![]()
Umpate pia mwenye wivu but anaejitambua .... mana kama hatarusha ngumi ama kijembe basi huko nyumbani UNALO .... Utawashiwa moto balaaa [emoji1] [emoji1]hapo mke wa obama kimoyo moyo anasema ajue bado nalipa... hakuna kitu kizuri kama hicho hasa mbele ya mwenzio inaongeza credit
ha haha na huo moto ndiyo tunautaka kumbe uanipenda .. ila ukikaa kimya mmh nawaza mara mia miaUmpate pia mwenye wivu but anaejitambua .... mana kama hatarusha ngumi ama kijembe basi huko nyumbani UNALO .... Utawashiwa moto balaaa [emoji1] [emoji1]
ha aha huyo wa kunipiga ndiyo simtakiMoto mwingine weeeee .... achana nao makofi na kufinywa juu [emoji1] [emoji1] utataman angepotezea
mi linauma labda kama unachapa halafu unanipa pesaHuwa mwasema KOFI LA MPENZI HALIUMI ..... ama ww mtazamo huo huna?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmecheka kwa sauti hadi majukwaa yote ya JF yamesimamisha shughuli zao kwa mudami linauma labda kama unachapa halafu unanipa pesa
ha hahahaha ha ndiyo hivyo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmecheka kwa sauti hadi majukwaa yote ya JF yamesimamisha shughuli zao kwa muda
Hawa watakuwa wale walokole wa mchana au mbele za mmewe lakini wakiwa wawili tu wanapeana "atoto" tamuu
" ..... wakiwa wawili tu wanapeana "atoto" ...... [emoji15] [emoji15] [emoji15] wataalamu wa lugha njooni huku mtujuze "atoto" ndo nn?Hawa watakuwa wale walokole wa mchana au mbele za mmewe lakini wakiwa wawili tu wanapeana "atoto" tamuu