Namna ya Kusalimiana na Mke wa Mtu

Hahahaha yaani ni noma aseee
 
hapo mke wa obama kimoyo moyo anasema ajue bado nalipa... hakuna kitu kizuri kama hicho hasa mbele ya mwenzio inaongeza credit
Umpate pia mwenye wivu but anaejitambua .... mana kama hatarusha ngumi ama kijembe basi huko nyumbani UNALO .... Utawashiwa moto balaaa [emoji1] [emoji1]
 
ha haha na huo moto ndiyo tunautaka kumbe uanipenda .. ila ukikaa kimya mmh nawaza mara mia mia
Moto mwingine weeeee .... achana nao makofi na kufinywa juu [emoji1] [emoji1] utataman angepotezea
 
mi linauma labda kama unachapa halafu unanipa pesa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmecheka kwa sauti hadi majukwaa yote ya JF yamesimamisha shughuli zao kwa muda
 
ha hahahaha ha ndiyo hivyo
 
Hawa watakuwa wale walokole wa mchana au mbele za mmewe lakini wakiwa wawili tu wanapeana "atoto" tamuu
" ..... wakiwa wawili tu wanapeana "atoto" ...... [emoji15] [emoji15] [emoji15] wataalamu wa lugha njooni huku mtujuze "atoto" ndo nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…