Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Habari, nina tatizo please. My car radio imeandika Multi AV Stations then chini kuna kijapani. Naomba kusaidiwa namna ya kuitoa ili niendelee kupata radio stations na kuplay VCD, CD, SD n.k.
Nimebonyeza vitufe vyote ila imekataa kuondoka.
Twaweza kupeana elimu nyingine za namna ya ku-operate radio zenye lugha ya Kijapani.
"Enyi wajapan, mnatutesa na mivitabu yenu kibao ya lugha yenu. Sisi hatuelewi japo ni watumiaji wakubwa wa Toyota brands, onesheni kujali wateja kwa kuweka na Kiswahili"
CC Mshana Jr, Prondo, Lege!
Nipo Bomang'ombe