Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka,
wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi.

Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kitu, wa kufa ajifie na wa kupona apone, sasa ili kuzuia wao kutuletea balaa lao hilo, tukomae kama tulivyofanya kwa mpakani, kwa sasa watafanya mengi ikiwemo kuzuia ndege zetu lakini tusisahau sababu za sisi kuwazuia kuja huku, sio kwamba tuna chuki nao, ila afya yetu ni kipau mbele.

Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
 
Mtafuata tunachoona sisi ni sawa kwa maslahi ya nchi yetu au Kenya airways ibaki hukohuko.

Leo hii mpakani tunawapima tena sisi sio nyie mjipime huko kwa kughushi vyeti pale Kariokoo, na kwenye uwanja wa ndege tutawapima sisi, hamtokuja na vyeti huku mkikohoa kohoa.
 
Huu ni uongo, mtanzania anaye hitaji kuvuka hadi Kenya bora aonyeshe kijikaratasi cha wiraza ya afya TZ kuwa hana corona.
Mgogoro ulikuwa kwamba kenya haikuwa ina heshimu barua za TZ, Magufuli akafunga mpaka, mikenya ikaomba po , sasa mambo shwari..vijibarua zinatengenezewa cybercafe pale mpakani na ni lazima kenya iheshimu
 
Maneno ya kujifariji hayo,ukweli unaujua kwamba hakuna mtz aliuekataa kupimwa,bali tulikataa kupimwa na wakenya,kitu ambacho tulifanikisha.ni hivi,hakuna mkenya anayempima mtaz pale mpakani,kwa hili la ndege,mmeisha poa ghafla, Hadi aibu.tutaingia Kenya bila kuwekwa karantini mpende msipende!
 

Mlikataa kupimwa na Wakenya, mkapiga makelele sana ila leo hii mnapimwa na hao hao Wakenya, maana hatuamini hvyo vyeti vyenu vya Kariokoo, uking'ang'ania kuja kwetu kubali masharti yetu, kama tunawashikisha wageni ukuta na wewe tafuta ukuta wako ushike.
 
Kuweni Waungwana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kuna kitu watanzania hawaelewi! kukosa uwazi katika hii issue ya corona kutawaumiza sana nyie,
tazama hii kauli ya UAE; zipo nchi nyingi tu duniani zenye msimamo kama huo dhidi ya tanzania.
 
Shindeni mechi yenu[emoji23][emoji23]
 
Mkenya yupi anaempima mtanzania? Em acha kujifariji kwenye hamna

Tunapita kwa makaratasi fake kama tunaingia chooni vile Hakuna wa kutugusa
 

Hayo mazungumzo yatafanyika baada ya arobaini ya mpendwa wetu Ben,kwa sasa kila mtu abaki nyumbani kwake[emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
 
Kenya Covid mnafanyia biashara mnaingiza fedha/misaada kutoka kwa mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…