jacquejaytee
Member
- Jan 20, 2014
- 46
- 27
Unakosa mengi weweMa crips ya kazi gani, mie siyapendagi
AiseeTafuta ndizi zako mzuzu mbivu,zisiwe zimeiva sana mpaka kulegea,au mbichi kama utapenda japo za kuiva huleta utam kwasababu ya ile sukari yake inatyotokana na kuiva kwa ndizi....
Zimenye vizuri,kama una mashine tumia kukatakata vipande vyembamba (virefu au vifupi fupi,au shape yoyote utakayo)unaweza tumia kisu japo mashine ni nzuri zaidi hasa kushape crips zako..
Ukimaliza zioshe vizuri ziache zichuje maji kabisa,ziwe kavu,.bandika mafuta yako ya kupikia kwenye karai au sufuria pana,yaache yapate moto sana,halafu weka vipande vyako vya crisps kwenye mafuta hayo,vikianza kubadilika rangi vigeuze geuze mpaka viwe brown na vikavu kabisaa
Vitoe kwenye mafuta na viweke kwenye chujio au tumia taulo yako ya jikoni kuchuja mafuta,.crisps zako zitakuwa tayari kwa kuliwa,kama ni kwa biashara unaweza kuzipaki kwenye vifungashio vyako zikiwa zimepoa..
NB:mafuta lazima yapate moto wa kutosha ili kuzifanya zisinyonye mafuta mengi,hazitapendeza zikiwa na mafuta mengi.
Asalaam Alaykhum..Aisee
Labda hawana mb za kutosha...wasaidie inapobidi kwa kuwapa maelekezo hata mafupi ya awali tuu..Sijui kwanini watu hua hawapendi kutumia youtube kuangalia mapishi wayapendayo.
A'leikum sallam wabarakatu;Asalaam Alaykhum..
Hahaha mama la mama mwenye cooking zangu za kutosha...bado tunajifunza pia shekhe wangu,.jambo ukilijua ndio kama hivyo unatoa maoni yako kama hujui basi unasubiri na ww kujifunza kutoka kwa wengine pia..si unajua hakuna ajuaye vyote?!A'leikum sallam wabarakatu;
mama masapta sapta
Ujue unatisha
Sio kwa maelekezo ayo
Sijui lini nitamiliki hata kamini supar marketHahaha mama la mama mwenye cooking zangu za kutosha...bado tunajifunza pia shekhe wangu,.jambo ukilijua ndio kama hivyo unatoa maoni yako kama hujui basi unasubiri na ww kujifunza kutoka kwa wengine pia..si unajua hakuna ajuaye vyote?!
Elekezo zuriTafuta ndizi zako mzuzu mbivu,zisiwe zimeiva sana mpaka kulegea,au mbichi kama utapenda japo za kuiva huleta utam kwasababu ya ile sukari yake inatyotokana na kuiva kwa ndizi....
Zimenye vizuri,kama una mashine tumia kukatakata vipande vyembamba (virefu au vifupi fupi,au shape yoyote utakayo)unaweza tumia kisu japo mashine ni nzuri zaidi hasa kushape crips zako..
Ukimaliza zioshe vizuri ziache zichuje maji kabisa,ziwe kavu,.bandika mafuta yako ya kupikia kwenye karai au sufuria pana,yaache yapate moto sana,halafu weka vipande vyako vya crisps kwenye mafuta hayo,vikianza kubadilika rangi vigeuze geuze mpaka viwe brown na vikavu kabisaa
Vitoe kwenye mafuta na viweke kwenye chujio au tumia taulo yako ya jikoni kuchuja mafuta,.crisps zako zitakuwa tayari kwa kuliwa,kama ni kwa biashara unaweza kuzipaki kwenye vifungashio vyako zikiwa zimepoa..
NB:mafuta lazima yapate moto wa kutosha ili kuzifanya zisinyonye mafuta mengi,hazitapendeza zikiwa na mafuta mengi.
Em fanya kitu buanaa best yanguu๐Sijui lini nitamiliki hata kamini supar market
Nianze kuku ungisha bites.
Lakini siku si nyingi inshallah
hahaha usijali shimo litatema siku si nyingiEm fanya kitu buanaa best yanguu๐
Kwanini??!๐ ๐ ๐hahaha usijali shimo litatema siku si nyingi
Sema mi nahisi una ka uvivu flani ujue.
kwanini usitafute wadada kama wawili hiviKwanini??!๐ ๐ ๐
Kuzungukaje...??kwanini usitafute wadada kama wawili hivi
wakuzunguka mama la mama;
Au bado hujaamua ndipo upo kwenye tafakuri.
Maofisini, kwenye mikusinyiko ya watu wengi nk. kufuata wateja.Kuzungukaje...??
Wateja wa chakula...Au??Maofisini, kwenye mikusinyiko ya watu wengi nk. kufuata wateja.
Ndio au unataka uendelee pika for funny!Wateja wa chakula...Au??