Namna ya kutengeneza Lasagna

Unahitaji, nyama ya kusaga, cheese, tomato sauce na lasagne sheets, yaani kama tambi. Pia oven ya kupikia.
 
Unahitaji, nyama ya kusaga, cheese, tomato sauce na lasagne sheets, yaani kama tambi. Pia oven ya kupikia.

Nimeshaandaa hizo
Ingredients nitajaribu soon Asante kwa inputs dear
 
Mimi pia penda sana kula hii kitu...

Atakayepika asinisahau...
 
Wapendwa msaada namna ya kutengeneza hii kitu, nilikaribishwa mahali mwaka mpya na ilikuwa moja ya menu
C:C farkhina, MziziMkavu, Mrs Kharusy

Just one important tip, kwa hizo ingredients ambazo umepewa, unabidi uchemshe maji ya moto then upitishe for 2min zile sheet za lasagna then uzipitishe kwenye cold water zisipate kugandana, katikati weka ingredients kama pizza vile.. farkhina njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…