Namna ya kutengeneza nywele za kipilipili

mafrey

Senior Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
107
Reaction score
10
Habari wana JF,

Naomba mnisaidie kuziboresha nywele zangu pia zikue haraka maana ni zakipilipili hata nisuke miaka miwili nywele siwezi kubana.

Naomba mnisaidie
 
Hzo dread nahc haztonipendeza kwani hakuna dawa zakutumia
 
Asante kwa hyo nktumia dawa hzo haztakuwa kipilpil tena
 
Jaman mm napenda sana kusokota dread,yaan hata kesho naweza kuanza ila cjui pa kuanzia, mlolonho wake unanakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…