Namna ya kutengeneza radi na kuituma kwa adui kichawi

Pouwa kamanda ivi kila mganga Wa kienyeji ni mchawi? Samahani nipo nje ya mada mkuu...
Ndio kila mganga wa kienyeji ni mchawi kwa sababu hutumia uchawi kufanikisha mambo yake

Lakin tafsir ya kichawi ni kuloga kama hujaloga bas wewe sio mchawi
 
Tengeneza moja tumtumie baba j...a
 
Ndio kila mganga wa kienyeji ni mchawi kwa sababu hutumia uchawi kufanikisha mambo yake

Lakin tafsir ya kichawi ni kuloga kama hujaloga bas wewe sio mchawi
Aisee kwa hiyo wewe mchawi mkuu...? Yani unapanda ungo kabisa..
 
We jamaa utakuwa mwanaume wa Dar...ndo nini kujiita Baby
 
Radi hutengenezwa na utando wa buibui yule mkubwa. Kichwa cha kuku huwekwa mwisho.
 
Ebwana mie naomba niwatumie watu wasio julikana hiyo radi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…