Tofauty
Member
- Sep 12, 2016
- 25
- 16
Leo ten tumekuja na mafunzo kwa wanawake, kuna baadhi ya wanawake ambao wana harufu mbaya sana katika sehemu zao za siri, sasa nimeitengeneza video hii kwa ajili ya kuwaelimisha njia ya kujitibu wenyewe kwa gharama isiyozidi elfu kumi,
Aidha nimetoa vitu ambavyo vinasababisha madhara hayo ya kutoa harufu hiyo kali na pia nimefafanua vitu vya kutumia virahisi sana vinavyoondoa harufu katika uchi wa mwanamke.
Vitu hivyo ni pamoja na MAZIWA MGANDO(MTINDI), MAGADI SODA, KITUNGUU SAUMU, NA APPLE CIDER VINEGAR (Kinywaji cha TUFAHA)
Video inatoa maelezo namna ya kutumia vifaa hivyo kwa ajili ya kujiponya katika tatizo hilo na kuinjou maisha. Unaweza kuchukua muda wako mdogo kuitazama video hii kwa ajili yako, mke wako, mpenzi wako, rafiki yako na hata mpenzi wa rafiki yako kama umelalamikiwa,