Yerico, ninashindwa kukuambia neno kwakuwa utangulizi wako ulijitetea kuwa siyo mwanasheria kama ungekuwa mwanasheria ningekwambia fani hiyo achana nayo ishakushinda. kwahiyo ninakupongeza kwakuwa open. Neno si ndy si neno zuri mahakamani kwakuwa ni Leading question unless unamfanyika cross examination, lakini wewe hujasema maneno hayo utamuuliza shahidi gani.