SoC04 Namna ya kutokomeza rushwa

SoC04 Namna ya kutokomeza rushwa

Tanzania Tuitakayo competition threads

Mnadi Sixson

New Member
Joined
Jun 9, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Ili kutokomeza Rushwa ni vyema serikali kufanya utoaji wa ajira zote 'nje na zile za uteuzi' upitie kwenye mfumo mmoja (TAMISEMI) pia wafanyakazi wa TAKUKURU ni wachache wako maofisini na rushwa ziko mitaani basi nivyema kuajili watu maalumu hata wa siri wawepo katika mitaa yetu ili kubaini kwa urahisi matendo ya rushwa pia kuyaondoa mamlaka ya mwalimu wa chuo kutengeneza matokeo ya mwanafunzi ila kuwepo na baraza maalumu la usahishaji na upangaji matokeo.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom