Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 360
Habarini wadau
Naomba kujuzwa iwapo mwanafunzi alirisit mtihani na kupata credit 1 na awali alivyomaliza form four alikuwa na credit 2, sasa ana vyeti viwili je inawezekana kuunganisha matokeo kwenye cheti kimoja?
Ni wapi naweza kusaidiwa kufanya hivyo?
Natanguliza shukran.