Kama kawaida yani hapo nalia hukua nina leso halafu naimba wimbo wa Lavalava wa Kilio.Mkuu No. 37 inakuhusu
Hapa Dar ni bahari ya information tunajua kila kitu nyie wahamiaji ndiyo mnauliza hata sanamu la Bismini lilipoWambie hao
Halafu wapunguze kujisifia
Wasiwe much know.