SoC01 Namna ya kuwasaidia Wanafunzi katika elimu ili kuongeza ufaulu

Stories of Change - 2021 Competition

Divine_lady

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
22
Reaction score
13
Tanzania ni nchi ambayo elimu yake bado ipo level fulani ya chini ambapo inahitajika jitihada za nguvu ili kuweza kupandisha hiyo level ya elimu iwe juu haswa katika shule za Serikali za msingi na sekondari.

Wazo langu ni kuunda kifaa muundo wa daftari, ambacho kitakuwa na kalamu, rula, penseli na ufutio wake maalumu ambazo zitatumiwa na mwanafunzi/wanafunzi katika kuandaa notes.

Baada ya kuandika hizo notes kutakuwa na kitufe kimeandikwa save ambapo kitabonyezwa na mwanafunzi/wanafunzi ili kuweza kuhifadhi hizo notes ili zisifutike.

FAIDA ZA HICHO KIFAA.
1/ Humsaidia mwanafunzi kutobeba mzigo mzito wa madaftari katika begi lake na kuenda nalo shule likiwa limesheheni madaftari mengi.

2/Humsaidia mwanafunzi kutunza kumbukumbu nzuri za notes zake kuanzia darasa la (1-7) kwa level ya msingi na form (1-6) kwa level ya sekondari.

3/Kukuza teknologia ya nchi na pato la taifa kwa kuuza hicho kifaa ndani na nje ya nchi.

4/ Kifaa kitakuwa kinatumia mfumo tofauti tofauti wa umeme kama betri, charger, na solar.

5/ Ongezeko wa ufaulu kwa wanafunzi, kwasababu ya uhifadhi mzuri wa notes huwafanya wanafunzi kusoma kwa bidii pia, upotevu wa madaftari kizembe utapungua na umakini wa uhifadhi wa hicho kifaa utazingatiwa kutokana na gharama ambazo zitatumika kama fidia za upotezaji.

Tamati
Tanzania ikiweza kufanya na kutekeleza wazo hili tutapiga hatua kubwa sana katika elimu yetu.
 
Upvote 2

Wazo zuri japo changamoto ya umeme kwa maeneo mengi nchini itakua kipengele
 
Hicho kifaa kitatengenezwa katika mfumo tofauti tofauti inaweza kutumia battery, solar au umeme kwahiyo mzazi atamnunuliwa mtoto wake kifaa hicho kutokana na chanzo cha umeme anachotumia kwake.
 
Wazo zuri sana binafsi nimependa, chukua hatua zaidi kwa kupeleka proposal kwa wahusika may be wazo litafanyiwa kazi
 
Back
Top Bottom