Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
UTANGULIZI
Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo.
Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo. Mtu anapozaliwa tunaanza kumfundisha mambo ambayo anayaona kwa damu na nyama. Kwahiyo elimu kubwa anaipata ya kwenye phyisical world.
NAMNA YA KUWASILIANA NA MAJINI
Majini ni viumbe wanaoishi katika ulimwengu wa pepo. Ndani ya ulimwengu wa pepo wanajua na kuona vitu vingi ambavyo sisi hatuwezi kuviona kutokana na kupata elimu kwa muda mrefu kupitia ulimiwengu wa nyama. Leo nataka kufundisha namna ya kuwasiliana na viumbe waliopo katika ulimwengu wa pepo. Ikiwemo majini na malaika.
KUFUNGA MILANGO YA FAHAMU
Namna ya kwanza kabisa ni kupata utulivu wa kuweza kufunga milango ya fahamu. Milango ya fahamu huwa ina distract umakini wa ulimwengu wa pepo. Zipo njia kadha wa kadha zinazoweza kusaidia katika kufunga milango ya fahamu. Kwa kuanzia nitaanza na njia inayoitwa Chanting
Chanting ni njia inayotumiwa na waumini wa imani mbalimbali. Walokole wanasema Kunena kwa lugha. Lakini dini karibia zote huwa zinatumia njia hii ili kujiingiza katika ulimwengu wa pepo.
Chanting ni kuongea maneno marahisi yanayotamkika kwa kurudia rudia. Unaweza kuyaongea kwa haraka haraka na kisha unakuwa induced kwenye ulimwengu wa pepo.
Kufunga milango ya fahamu siyo ndio kuweza kufanya vitu kwenye ulimwengu wa pepo. La hasha unaweza kufunga milango ya fahamu na kuingia kwenye ulimwengu wa pepo na usijue cha kufanya. Ulimwengu wa pepo ni mkubwa sana upo na mambo mengi.
Katika bandiko langu hili nitakuwa natoa kidogo kidogo siri kwa wale wataofuatilia na kuunganisha dots wataelewa na kupata elimu kubwa iliyoachwa miaka na miaka.
KARIBUNI
Nitaendelea...