Namna ya ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Mimi ni mtaalamu wa kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji. Na pia nimetunga kitabu cha ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji! Kitabu hicho nakiuza kwa shilingi 30000 tu.

kitabu hicho pia kitakupa mbinu za ufugaji wenye tija na kuweza kukata hamu yako ya ujasiriamali.

Baada ya kununua kitabu hicho nitakutumia soft copy kwenye email yako!

Chakufanya kwasasa tuma email yako na pesa kupitia Mpesa.kwenda namba 0759039524. Nitakutumia haraka sana!

Karibuni sana
 
Wewe unafuga??au wewe utaalamu wako ni katika kuandika tu?? yalimo

mimi ni msomi, mfugaji pia. jipatie kitabu hiki chenye mbinu bora za ufugaji wenye tija!
 
Last edited by a moderator:

Hebu tuone picha za hao mifugo wako...kama wako vizuri nadhani utakua umeshawishi watu kununua
 
watu wanataka shamba darasa tuje tuone unavyofuga na mtirirko wa tiba unavyowapa, mambo ya vitabu yamepitwa na wakati,usikute hujui hata kama kuku huwa wanataga

Tena biashara yenyewe via M- pesa
😛opcorn:
 
Mimi ni mtaalamu wa kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji. Na pia nimetunga kitabu cha ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji! Kitabu hicho nakiuza kwa shilingi 30000 tu.

kitabu hicho pia kitakupa mbinu za ufugaji wenye tija na kuweza kukata hamu yako ya ujasiriamali.

Baada ya kununua kitabu hicho nitakutumia soft copy kwenye email yako!

Chakufanya kwasasa tuma email yako na pesa kupitia Mpesa.kwenda namba 0759039524. Nitakutumia haraka sana!

Karibuni sana

ATAKAYE NUNUA ASISAHAU KULETA FEEDBACK
:ranger: :ranger:

Ndugu ABAS yalimo, umetaguliza sana kunadi kitabu bila kuweka hata contents za kilichopo. kuna harufu ya Utapeli, si unajua dunia ya leo!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mtaalamu wa kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji. Na pia nimetunga kitabu cha ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji! Kitabu hicho nakiuza kwa shilingi 30000 tu.

kitabu hicho pia kitakupa mbinu za ufugaji wenye tija na kuweza kukata hamu yako ya ujasiriamali.

Baada ya kununua kitabu hicho nitakutumia soft copy kwenye email yako!

Chakufanya kwasasa tuma email yako na pesa kupitia Mpesa.kwenda namba 0759039524. Nitakutumia haraka sana!

Karibuni sana
Nina swali,Banda la kuku 300 inaweza kuni cost sh ngapi?
 
NAOMBA MAJIBU YA MASWALI YAFUATAYO: andika majibu KWELI au SI KWELI
=> kuku wa kienyeji hutaga wastani wa mayai 72 kwa mwaka?
=> utumiaji wa jani la ALOVERA husaidia kwa 60% magonjwa ya kuku kama mdondo nk?
=> kuku wa kienyeji sehemu za joto huanza kutaga baada ya miezi 5 au 6 wakati sehemu za baridi ni miez 7 au 8?
=> nyama ya kuku wa kienyeji ni tamu sana?
=> kufuga kuku wa kienyeji kwa njia za kienyeji ni hasara kubwa sana ?
SWALI LA PILI: UNAFUGA NGURUWE AINA/SPICIES ZIPI? WANAZAA WATOTO WANGAPI KWA MZAO MMOJA?
 
mimi ni msomi, mfugaji pia. jipatie kitabu hiki chenye mbinu bora za ufugaji wenye tija!

We huna tofauti na Gwajima anayeombea wagonjwa, ila yeye alilazwa hospitali.

Tupia picha ya shamba lako.
 
Acha kutanguliza pesa mbele 30000 haitoki kitoto namna hiyo watu tunataka tuone mfano kwanza
 
Muogope Mungu naona umemaliza kutapeli huko mtaani sasa unakuja kutapeli jf,wewe juzijuzi ulisema unafuga nguruwe 30 kwenu kigoma na ukasema nguruwe wako anatoa robo tani,watu wakakuuliza aina ya huyo nguruwe ukashindwa kujibu,na kila mtu alitia shaka kama wewe unafuga sasa unataka kutuibia tena moderator inabidi akushughulikie fasta
 
@Mdakuzi ..... umenikumbusha kuhusu ule uzi wa nguruwe kwenye uzito Wa 250kg
 
Back
Top Bottom