Ndugu, wewe huwa unayanunua wapi? Ninafahamu kwa hapa tz, ya ukweli ni mtumbani. Lakini mimi huwa sipati slim fit kali mtumbani. Wenzangu mnazipata wapi? Mengi ninakutana nayo ni yale yametunatuna balaa. Utasema unafanya biashara ya mbao Makete-Ilembula -Dar. Aisee!