Nampa pole sana Christian Ronaldo

Jipe pole wewe mzee wangu,CR7 ana achievement kwenye maisha yke ambpo ata kw kiwango hchi cha kufumania nyavu alchonacho cirro na akarudishiwa umri nyuma lets say cirro awe na miaka 20 hawezi kufkia mafnkio ya Cr7...
 
Mwandishi amezungumzia ligi ya italy kwa wakati huu,hajazungumzia mlinganisho kwa wakati wa nyuma.
 
Mada ni ya soka ila watu wanaingiza sijui ukabila! sijui kuilisha familia! haya yanahusu nini kwenye michezo? mleta mada ameongelea soka na sio maisha binafsi ya mtu.
 
Reactions: PNC
Kwa mara ya kwanza nimesoma habari ndefu ya michezo. Una kipaji cha kuandika.
 
Ciro Immobile yuko moto sana si rahisi Cr7 kumpita pale labda apate injury..
Kwa age ya 34 jamaa anakomaa sana, kucheza ligi 3 kubwa kwa mafanikio makubwa ni historia kubwa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…