FOX21
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 493
- 916
Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo .
Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia ndani akifatilia tamthilia na kunipiga vizinga vya hapa na pale.
Na biashara nilio iona haitampa changamoto na mizunguko mingi ni kumfungulia kibanda cha kuuza aina zote za sabuni detergent (bar soap 🧼 & liquid soap 🫧).
Naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa kuuza sabuni anisaidie kufahamu mzunguko upoje, japo kwenye swala la mzunguko hutegemea mazingira yanayo zunguka. Je faida ya hii biashara ipoje kiujumla?.
NB: napokea ushauri hata kama utalenga kwenye biashara yoyote tofauti na hii nilio orodhesha ila mtaji usivuke 1m.