Nampataje huyu msichana

Nampataje huyu msichana

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Kwema,
Kuna binti nimemuelewa hapa mtaani nikamwambia aje sehemu fulani Kuna mzigo nataka nimpe. Kweli akaja ila kwa kuwa huo mzigo sikuwa nao ikabidi nimdanganye mzigo haujafika ila naona akawa ameelewa namtaka. Sasa tokea hapo Kila nikamwambia aje tena anasema sawa ila haji, ila tukikutana njiani tunasalimiana na kupiga stori mbili tatu, nikimbia aje anasema sawa ila haji. Sasa wakuu naona nipige chini au nipeni mbinu nyinginezo.
 



Nilisema Mimi [emoji23]
Hii mada yako haija nyooka, ujue wanaume tunatofautiana sana wote tungekuwa vipengule pasinge toshaa
 
Back
Top Bottom