chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Hii mada yako haija nyooka, ujue wanaume tunatofautiana sana wote tungekuwa vipengule pasinge toshaaWanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke. Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana...www.jamiiforums.com
Nilisema Mimi [emoji23]