pole sana ila hua inatokeaga ivo jaribuni kuwa mnabadilisha badilisha mazingira ya kufanyia mapenzi na kupumzikia sio kila siku mufanye hayohayo lazima kuchokana kuweko
Mie kumchoka sijui itakua lini mungu asinijalie nadhani sababu nampenda sanaa kuliko yeye anavyonipenda, jaribu kufanya vitu tofauti kama mambo ya wakubwa sio kila siku iwe chumbani tuu,badilisha sehemu za matembezi na pia ongeza mapenzi.