Nampenda Babbie Kabae wa Clouds Tv

Forevertz

Member
Joined
Sep 11, 2011
Posts
38
Reaction score
20
Nampenda sana Babbie Kabae mtangazaji wa Clouds Tv, kutokana na upeo wake mkubwa wa kufikiri, kujibu hoja na kuwa mbunifu. Hivi how old is she? Kasomea chuo wapi? (i heard ni mkenya but am not sure and i want to know)
 
Ana Sony wega au samsung flat screen? Weka picha tumtathmini
 
Nampenda sana Babbie Kabae mtangazaji wa Clouds Tv, kutokana na upeo wake mkubwa wa kufikiri, kujibu hoja na kuwa mbunifu. Hivi how old is she? Kasomea chuo wapi? (i heard ni mkenya but am not sure and i want to know)
Unajua kabisa na sizonje nae anamnyatia huyo huyo....ngoja vijana wa makumbusho wakutafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…