Nampenda Babbie Kabae wa Clouds Tv

Binafsi hata mi hua nampenda yule dada tena hua hisia zinanipeleka mbali kabisa akiwa anaongea.But sina mawasiliano nae ningemwambia
 
hv si ndo huyu kipindi yuko eatv alikuwa anatangaza kipindi cha regae na alikuwa anajiita sister dread?
 
hv si ndo huyu kipindi yuko eatv alikuwa anatangaza kipindi cha regae na alikuwa anajiita sister dread?

Haswaaaaaaaaaaa… ni mwenyewe huyu sister dread. Hivi kwa makadirio atakuwa na miaka mingapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…