Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

Mwambie Mkuu labda ana ugonjwa.

 
Anajua ndo maana.
 
Utamu si uliufurahia lakini? Usimfiche hili tatizo labda halijui anadhani ni kawaida tu.
Nimuingiaje sasa ili kumsaidia, si lazima nirudiane nae, lakini I just wish aweze kupata stable relationship. Ana kila sifa ya kuwa mke wa mtu, ila naona watu wanafikiria ataishije ndani na hiyo harufu.
 
Endelea nae tu mbona kawaida hiyo..!

Kibaiolojia karibu wanawake wote huwa wananuka K.

Kwa hiyo kitendo cha wewe kumkataa kisa ananuka K, ni sawa na kuukata uanamke wake.
 
Huyo binti ana tatizo la uyoga (yeast) kwenye papuchi yake. Mwambie amuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama amsaidie kutatua tatizo lake. Sio vzr kumuona mwenzio anaachwa kila kukicha bila kufanya jitihadi za kumsaidia...sio poa hata kidogo.
 
Kama unampenda mwambie ukwel ataumia lakin atafanya mkakati wa kua msafi uckute yeye hajui
 
Reactions: SDG
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana.
Punguzeni kukimbia kimbia na hio mikia yenu hivi mtabadilika lini[emoji23][emoji23]!

anyway; ungekaa na huyo dada umuulize nini hasa tatizo, maana wanawake tuna mambo ya kujichokonoa chokonoa mara kaweka ndimu mara asali mara sijui vitu gani, au amewahi kutoa mimba?

kama hajawahi kabisa kuchokonoa huko em mwambie ajaribu misk[emoji125][emoji125] ikishindikana aende hosp
japo nasikiaga wengine ndivyo walivo...
 
Huyo binti ana tatizo la uyoga (yeast) kwenye papuchi yake. Mwambie amuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama amsaidie kutatua tatizo lake. Sio vzr kumuona mwenzio anaachwa kila kukicha bila kufanya jitihadi za kumsaidia...sio poa hata kidogo.
Naomba ushauri, nimuingieje na kumueleza hilo suala?
 
Kujisikia vibaya ni lazima na atajua sababu ya kutokuwa na time naye tena, kama alikuwa hajui hadi sasa, lakini kama ana akili nzuri atakushukuru pia.

Uko sahihi kabisa, ila ninahofia nitamuingiaje. Nahofu atajisikia vibaya mnoo na possibly self esteem yake itakuwa seriously affected.
 
ANGALIZO. ....namuelewa vizuri sana mleta mada maana nishakutana na mtu wa aina huyo...niligonga kimoja nikajipigia simu na kuaga nikamuacha guest mpaka leo sijarudi na namba nilifuta but she is a woman and a half....damn pretty and sexy too.
Ila huyo wangu mikucha mirefu ndio nikapata story wanawake wenye kucha wananuka papuchi so mpaka leo una mikucha mimi na wewe tuwe kaka na dada basiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…