Nampenda bt naogopa kumwambia!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!
 
Nipe namba yake ya simu, nikusaidie kumwambia.
 
so so so fresh nishawapa ndugu bt stil mtoto bado. Eti anatakasikia toka kwangu, realy nashindwa nisemaje, nifanyaje?
 
Una umri gani? Unataka muoane au umchezee akishakuwa USED umpige chini?
 
ana 24 yrs, mi nataka km vp nimweke ndan, nipeni skils jaman! Kweli kupenda maradhi!
 
Nenda kwa babu loliondo, nahisi una matatizo ya ubongo
 
Finally utataka hd kwny mchakachuo aje mtu aku-train!
 
Dear ....,sikuli silali nakuwaza wewe,bila ya wewe siwezi kuishi maisha hayana maana bila ya wewe kuwa na mimi .....

Usiku silali nakuota wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glass................
 
Jamani mwanaume akishindwa kumwambia dem anampenda sijui namwonaje? basi anza kwa kumpa zawadi za hapa na pale,mwombe siku moja ukampe lunch kidogokidogo woga utakutoka
 
mwambie ku2nga verse we hujui ila unajua kumwambia ya kwamba unampenda na unataka yeye na wewe mkaumbe watoto wenu
 
mwambie ku2nga verse we hujui ila unajua kumwambia ya kwamba unampenda na unataka yeye na wewe mkaumbe watoto wenu

Mh au amwombe wakutanishe vikojoleo tehetehetehe
 
Unataka cc 2kusaidie nn? mana yy atajuaje unampenda bila ww kumchana live!! kama 1st stage kutongoza umechemka!! vp 2nd stage kuomba mzigo ......!!
 
Mh au amwombe wakutanishe vikojoleo tehetehetehe
We ndugu yangu we kabnt kanakupenda kshenzi,hapo hakuna kutongoza ni kuomba kazi tu Au shika sehemu yako ya siri na huyo bnt.nakuomba mchezo
 
jamani hili neno la vikojoleo,kwa kweli linanifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…