Basi Tu Nimelipenda Hili Jina Tu.Mtu Mwenyewe Sijawai Muona.Je Wewe Ushawai Kupenda Jina La Mtu Bila Kumwona.

Evelyn umeamua kujianzishia sredi!!!
Mkuu jina ulilolipenda hata kulitamka huwezi..
Mpendwa naona muujiza unaenda kutendeka nimeoteshwa nitapata mchumba hapa
We si ulisema upo form 2 na ni bikra? Au umeacha Shule? Otherwise Jf imechangia sasa unatamani ogo la jang'ombe.Mpendwa naona muujiza unaenda kutendeka nimeoteshwa nitapata mchumba hapa
We si ulisema upo form 2 na ni bikra? Au umeacha Shule? Otherwise Jf imechangia sasa unatamani ogo la jang'ombe.
Teh teh..Hata shetani anafanya miujiza mpendwa..Kuwa makini
Nitamkemea....
Halafu Kumbe we ni bikra..Mbona hujanambia?..Haikudisturb??
Ha ha ha inanidisturb navumilia tu nimalize shule nikaitupilie mbali huko