Nampenda Evelyn Salt

Rekebisha huo mwandiko hata ukimwita aje chaaap
 
Mkuu hebu kunywa maji ushushe huo mchecheto wa moyo, inaonyesha moyo uko kwenye vibration isiyo ya kawaida.
 
Ohooo! Kweli hiyo fani ya kughiribu uliianza kitambo...tangu enzi za TANU tena Ujiji?
Huyo bibie ni mtusi au mbemba?
Hahaha kwa lafudhi aliyokua akiongea na alivyokua akiguna atakua Mzaire[emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…