sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Aisee nilikuwa sijamwona vizuri huyu mtangazaji wa ITV Farhia Middley, Jana kwenye kipima joto nimemtazama huyu mwanamke dashhhhh, ana umbo zuri ambalo limenivutia usipime. Ana umbile matata sana..
Farhia kama upo humu naomba uje PM nikutafute unitoe hii hamu kwako. Naumia sana napokuona hivi hivi, I love u.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo jiandae kubikiliwa kavu kavu
utatuliwa linda mda si mrefu
Ukiona kuku mjin jua ana mwenyewe
hahahaahhahah mi sauti yake huniacha hoiAisee nilikuwa sijamwona vizuri huyu mtangazaji wa ITV Farhia Middley, Jana kwenye kipima joto nimemtazama huyu mwanamke dashhhhh, ana umbo zuri ambalo limenivutia usipime. Ana umbile matata sana..
Farhia kama upo humu naomba uje PM nikutafute unitoe hii hamu kwako. Naumia sana napokuona hivi hivi, I love u.
Au awe anapiga simu kila siku Jumapili asubuhi kwenye kipindi cha mambo ya familia anachofanya kwa kushirikiana na Mwaipaya huku anajifanya ni mwanamume anaejali mwanamkeKazi ndogo tu kaka nenda pale mikocheni ipp utampata Ukiona ugumu penyeza rupia tu kaka Si unajua vyuma vimekaza
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo jiandae kubikiliwa kavu kavu
utatuliwa linda mda si mrefu
Ukiona kuku mjin jua ana mwenyewe
hahahahhaaUlikuwa na vileo kichwani wewe!!
dj sinyorita lkn ana jamaa yake dj piaMimi nampenda yule dj wa cloud's ila simfahamu jina lake